Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
I just hate dealing with any Govt official!!!
Wala siyo Govt officials tu! Ni WaTZ kwa ujumla wetu tuna matatizo tena makubwa tu! Yaani ukichunguza kwa undani ni kila sekta palipo na M-TZ ni matatizo tu sijui nani aliyeturoga! "Nakubaliana na VOR kweli Bongo sekta zote zimeoza kuanzia juu mpaka chini!" Hapa tunamaanisha hata mkulu naye yumo.
Kwa kweli kama tungekuwa na viongozi wenye uchu na maisha ya waTZ tungekuwa mbali. Yaani tunataka kuzidiwa na Rwanda??? HII NI AIBU KIKWETE!!!!