mariavictima
Senior Member
- Jul 8, 2010
- 179
- 39
aisee hata mimi waliniambia ultra sound hakuna niende regency, inasumbua sana!sio X-ray tu mkuu! hata kipimo cha utra sound hawana, mi niliwai kumpeleka mtu pale wakamwambia aende akapime aghakan halafu alete majibu. Mi nilihisi labda wanapigiana mapande hawa jamaa.
hapo kwenye red ni tatizo kubwa kwenye hospitali nyingiNimeona nilete hii mada hapa JF ijadiliwa na pengine itapatiwa ufumbuzi maana naamini kuwa wahusika au Owners wa Tumaini Hospital ni wadau pia wa JF. Hivi mnaweza kuamini kuwa hospitali kubwa kama Tumaini haina kipimo cha X-ray? Inakuwa usumbufu mkubwa sana pale unapotakiwa kupigwa X-ray na kuambiwa uende hospitali nyingine ukafanye hicho kipimo halafu ulete majibu kwao Tumaini. Wanaoteseka na kusumbuka zaidi ni wagonjwa wanaotumia Bima ya afya kwani wengi wanaitegemea hospital ile. Hebu uongozi badilikeni na muweke vipimo vinavyoendana na hadhi ya hospitali yenu. Mbona mnapata pesa nyingi sana????
Leteni feedback wameweak hivyo vipimo vya Ultra Sound na X-Ray?
Wanatafuta kupigwa ban hawa. Ingawa utashangaa serikali haifanyi chochote au itakuwa kuamua baada ya mudaKwa sasa ultra sound ipo but huduma ni mbovu sana.hasa wale wadada wanaofungua mafaili na maabara.aah ipo kama amana tu utadhani sio private.na nimeona tangazo from leo hawapokei bima tena.