Usumbufu unaomkuta mhitimu anapofuatia cheti chake

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Habari wanajamvi!
Tukumbushanene mambo yawapata wahitimu pindi wanapofuatia vyeti vyao!
Mimi ni pamoja na kuchelewa gari wakati nimesha kata ticket na lugha mseto!
Vipi wewe unakumbuka nini na ni taasisi gani inayoongoza tz?
 
ikumbuke sina lengo la baya only life memories
 
Dah!Mkuu umenikumbusha mbali, enzi hizo Muhimbili kulipia cheti kati ya 30,000/=Tshs hadi 50,000/=Tshs na bila kulipia hupati cheti ilikuwa moja ya taratibu za kishenzi ilkiwa ni chuo pekee enzi hizo kulipia cheti ingawa umehitimu, sijui siku hizi (miaka ya hivi karibuni).
 
pole ngoja tuwasubir
 
Back
Top Bottom