Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!Mkuu umenikumbusha mbali, enzi hizo Muhimbili kulipia cheti kati ya 30,000/=Tshs hadi 50,000/=Tshs na bila kulipia hupati cheti ilikuwa moja ya taratibu za kishenzi ilkiwa ni chuo pekee enzi hizo kulipia cheti ingawa umehitimu, sijui siku hizi (miaka ya hivi karibuni).