Usumbufu wa mimba?

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Kuna
rafki yangu ana mimba ya miez 3 amenambia km anapofanya tendo la ndoa
na mme wake anaskia raha, lakin akimaliza tu hua anaskia maumiv makali
ya tumbo kama dk5 tu, halaf yanaisha . Je kuna tatizo au ni hali ya
kawaida tu, je ache kufanya tendo la ndoa, au kuna madhara yanaweza
kumtokezea baadae? NAWAOMBEN USHAURI NDUGU ZANGU KWAN RAFKI YANGU ANATESEKA.
 
Pole Turufuu uliwahi kwenda hospitali?
 
Last edited by a moderator:
Pole Turufuu uliwahi kwenda hospitali?

bado hajaenda lakin alienda kwa mkunga wa kienyeji akamwambia km fuko la uzazi limeshuka, akampa dawa lakin bd tatizo linaendelea, hasa chini ya kitov mpaka anahis km pamevimba.
 
Last edited by a moderator:
bado hajaenda lakin alienda kwa mkunga wa kienyeji akamwambia km fuko la uzazi limeshuka, akampa dawa lakin bd tatizo linaendelea, hasa chini ya kitov mpaka anahis km pamevimba.

Ndio maana kuna Clinic.Kipind cha mimba sio cha kupuuzia hata kama unaona jambo ni dogo.Inaweza hatarisha maisha ya mama na mtoto pia.Awahi haraka akamuone Gynacologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…