Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Huu ni utafiti usio rasmi nimeufanya kipindi kirefu kidogo,haswa kwenye hizi baa za kiswahili.
Iko hivi ............shuka na mimi,
Mimi ni mdau na mnywaji mzuri wa bia muda mrefu kidogo nakaribia miaka 30 ,hivyo ni mkongwe kidogo kwenye hizi pombe😂
Na pia Mimi ni mdau mzuri wa pombe za kikwetukwetu yaani napenda sana hizi beer local zinanikosha na kunifanya nijisikie huru kwenye Nchi yangu ,kuwa ambassador si lazima ulipwe bali waweza changia bidhaa ya ndani ili kukuza soko la ndani.
Hii si mada...
Habari ni hii
Kama mjuavyo pombe si chai,pombe huchangia kufanya maamuzi ambayo Kwa akili ya kawaida huwezi kufanya,hata yule mtu ambaye wakati anaingia bar ulimuheshimu sana subiri alewe akuoneshe vituko ndipo utagundua kuna watu ni wanenguaji kushinda fally ipupa na ferre gora. Lakini kubwa zaidi ni swala la MADEMU,MILUPO na MABINTI WA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA amini usiamini hakuna Bar na pombe bila mademu ni bora unywee nyumbani tujue moja.
Mademu na pombe ni kidole na pete hata Yule demu unamuona wa kawaida subiri ulewe utatamani kufuta majibu yako sahihi na uweke unayoyaona ni sahihi Kwa kipindi hicho.😂😂
Lakini je,mademu ,mabaamedi hesabu zao zikoje?
Wana changa vipi karata zao na kujua yupi mwenye pesa na yupi hana?
Je wanaweza vipi kuangalia muonekano wa mtu na kumtafsiri ana hela au Hana? kumbuka wapo kazini hapo hakuna mapenzi,ila kuna nipe nikupe,na unatakiwa kufika dau bila longolongo.
Kama nilivyosema mwanzo nilianza ulevi zamani tangu natembea Kwa miguu kwenda bar,tangu nipo na pikipiki ya kijapan ambayo ilikuwa ya boss wangu.
Tangu nipo na gari namwendesha boss so nikimrudisha nyumbani kwake nilikuwa na uwezo wa kwenda na gari yake kutanua na kujionesha si unajua tena kaushamba ketu mademu wa kibantu na magari ni kama pichu na kota😆
So kumchukua huyu ni kama kumrushia punje moja moja kuku mwenye njaa kali,ni kugusa tu.
JE KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MADEMU NA MADEREVA WA MALORI NA MAGARI MAKUBWA.
Hii mpaka leo,nimefanya nifanyavyo unaweza kuorganise na mwanamke wa Kiswahili vizuri na mkaelewana,subiri aingie dereva wa lori uone demu akikupiga chenga na kukukimbia.
Unaweza kaa bar fulani ukanunua beer kiasi cha kulewesha wahudumu wa hiyo bar karibu wote ,subiri aje dereva wa lori akae meza ya Jirani akinywa konyagi yake ndogo na energy uone watakavyoenda kwake kama nyuki😂
Unajua wanawake wa Kiswahili ni wa ajabu sana, siyo wote lakini maana wapo weman wapo bright na Wana mtazamo mzuri hii inatokana na uzoefu wao, Elimu Yao,si washamba wanajua kumuheshimu mtu na kumjali hawawezi kukuacha kwasababu za kijinga.
Tuendelee na wanawake wa Kiswahili 😂
Siku moja nipo bar fulani nikawa na kazi kidogo kwenye PC nikaona niagize maji madogo Kwanza kisha nitakunywa baada ya kumaliza kazi zangu, nakumbuka kipindi hicho bado nafanya kazi serikalini na ndiye niliyekuwa na simu nzuri na Kali ya mtumba Siemens niliyowahi kununua Kwa Mchina mmoja huko mikoa ya kanda ya ziwa ,hata hivyo bar niliyokuwepo Mimi ndiye nilijiona boss kwani mazingira yalionesha.mademu na wahudumu wote walihamia meza yangu huku meza zingine zikipangwa karibu na meza yangu unaweza sema tupo mkutanoni.
Ujana ni maji ya Moto,kuitwa handsome na boss niliona ni sifa na Kwa wakati huo nilistahili,nilinunua pombe kiasi cha kuwashangaza watu wengi na kuona huyu Jamaa wa wapi . ilikuwa saluti.lakini ghafla waliingia madereva wa magari ya mchanga wale wa kuweka vifusi barabarani,sikuamini mademu mmoja mmoja wakiondoka mezani kwangu na kwenda Kwa majamaa waliovaa vijireflector na maboot ya kazi,huku wakiwa wachafu ,lakini mademu hawakujali meza ikabaki tupu , nikaona aibu nikasepa zangu.😂
Nyingine ni hii kuna siku nilikuwa bar fulani maarufu mjini nikaagiza chakula na nikavutiwa na dada mmoja ambaye alikuwa ni mzuri mno , yaani alikuwa na vigezo vyote.
Nikaona nimuite niongee naye mawili matatu ,tukakubaliana.ila akadai yeye si muhudumu pale alikuja kumuona rafiki yake hivyo atanijoin Hadi mwisho wa Safari lakini nikaona tuhame kwakuwa pale bar kuna watu wananifahamu Mimi na familia huenda wakachoma kibanda.nikahama.
Tukatoka huku demu akionesha ana furaha sana kuwa na mimi kisha tukafika tulipokusudia tukaagiza vinywaji na Kupiga taratibu ,ghafla kuna lijamaa lilikuja mezani kwangu ,limening'iniza funguo nyingi kiunoni likanisalimia huku likionesha linatoka safari Kwa maelezo yake,cha ajabu demu akawa kafurahi kuliona lile jamaa ambalo likawa linamwambia limepaki gari yake sijui limebeba gunia la mkaa sijui mikungu ya ndizi.
Dah demu kidogo alikumbatie sema alijizuia kwasababu nipo,baada ya hapo walitoka nje ya bar wakaongea weee kisha demu akaja akanambia eti Yule ni kaka yake kuna Vitu kambebea toka mkoani na anaenda kuvipakia viende kwake kisha atarudi.nilishangaa sikuwa na namna nikamruhusu aende.na Mimi nikaamua kuondoka..
vipo visa vingi lakini kubwa ni hii kuna Don mmoja alimtoa demu Bar akaenda kumfungulia demu bar yake awe mmiliki,cha ajabu kuna dereva akawa anapoa pale kisa tu kuku anaowatoa mkoani kuja nao pale.
Je Kwa walevi wenzangu kwenu ipoje hii au Mimi ndiyo mwenye mikosi na hawa Transit Drivers😂