Uswahili na waswahili

Uswahili na waswahili

SumadaVinci

Senior Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
161
Reaction score
328
Tupost maendeleo yetu ili mturoge hapa ni USWAHILI kwenda mbele alisikika mswahili mmoja akiteta na waswahili wenzake🤣🤣🤣 basi tuendeleze uswahili
 
Girl wako anakusifu uko vizuri wakati wa tendo .....hivi anajaribu kukulinganisha na nani??

tumia hekima basi broh
🤣🤣🤣
 
Nmelala getho kwa PISI yangu ,nmeomba nauli ya kurudi kwetu kakataa

mbona mimi sifanyagi hivi akilala kwangu

🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom