Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
yaan ni vituko asrSherehe za vituko hizo
yap hayo wanatumiaTatizo mavitu yao hayo wanayotumia.
ni ushambaAlikuwa anatafuta mtu atamtoe rinda
Ma bhangi mabichi na powder hayo.yap hayo wanatumia
Nawe umbea umekuzidi, nalo hilo la kulileta humu kweli!?duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo
jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja na lakii na.... sijakopa wala sidaiwi hiii hapa nazani mnaiona wote yule jamaa katoa maneno mengi ya mafumbo nikawa nashangaa kuna humuhimu gani wa kufanya vile? yaan mtu anunue cm atangaze
kwangu nimeona kama vituko tu
mh haya niny ndio mnaondokaga na vyomboRaha ya shughuli kulewa raha ya shughuli kutia hasara
ase ila arusha kwa bangi kibokoMa bhangi mabichi na powder hayo.
ulitakajeNawe umbea umekuzidi, nalo hilo la kulileta humu kweli!?
sanaNi hatari
Ucyalete humu.ulitakaje
naelwaKwa nn tusikae na kukubali katika utofauti wa kuendesha maisha yetu ......hatuwezi fanana mkuu , kila sehemu wana namna Yao ya kufanya mambo. Kwao wala hakuna shida kufanya hvo. Sasa wewe kwa nn uteseke na kuanza kuchambua mode za watu za maisha, wewe mwenyewe unayejiona mstaarabu kwa watu wengine waweza onekana mshamba.