Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo
jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja na lakii na.... sijakopa wala sidaiwi hiii hapa nazani mnaiona wote yule jamaa katoa maneno mengi ya mafumbo nikawa nashangaa kuna humuhimu gani wa kufanya vile? yaan mtu anunue cm atangaze
kwangu nimeona kama vituko tu