NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
NEWZTANZANIA.: USWAHILINI MATOLA..WAMEPOTELEA WAPI?
Jamaa walikuwa wakali sana miaka ile, Pini lao la HAKUVAA KWA NGOMA lilibamba sana.
Walikuwa wanaweza sana na albamu yao ilibamba pia.
Je,wako wapi??
Wakwanza kutoa video bongo Fleva
Uswahilini ndio waliopotea ila Matola yuko hapa JF.
NEWZTANZANIA.: USWAHILINI MATOLA..WAMEPOTELEA WAPI?
Jamaa walikuwa wakali sana miaka ile, Pini lao la HAKUVAA KONDOMU lilibamba sana.
Walikuwa wanaweza sana na albamu yao ilibamba pia.
Je,wako wapi??
umeulizwa au?