Uswahilini matola wamepotelea wapi?

Uswahilini matola wamepotelea wapi?

Me ukimwi nauogopa jamani/bora nitafute mwali/wa makamu na twende hospitali/tukamwone daktari/au kijana mshauri/ si kwamba kututibu bali kutushauri/kwani we ukiupata ni kwako/nyumbani kwako/na mke wako/shauri yako.....inaendelea....
 
ruge aliwatafta ili wapambane na sugu kwny fiesta mbeya mwaka jana then akawadump na watakua wanalima maparachichi tukuyu kwa kna mwasakamwakamfyuke
 
SAD,basi kama walimsnitch SUGU.
BTW jamaa walikuwa wakali
 
NEWZTANZANIA.: USWAHILINI MATOLA..WAMEPOTELEA WAPI?

Jamaa walikuwa wakali sana miaka ile, Pini lao la HAKUVAA KONDOMU lilibamba sana.
Walikuwa wanaweza sana na albamu yao ilibamba pia.
Je,wako wapi??

Wapo uswahilini matola barabara ya tatu ....
Gax n fundi makenika
Mwingine yeye na dogo lake linaitwa Juma ni mateja.
Maskani yao ni Fiesta Saloon,Home boyz pale utawakuta Mateja kibao....
Wakijipanga kutoka kivingine.
 
Back
Top Bottom