Uswahilini: Mpangaji atangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Kila kukicha vituko havikwishi!
Huku mtaani kwetu kuna mpangaji wa kike (single) ametangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake. Amewaambia wapangaji wenzake kuwa atahakikisha anaiba waume wa wapangaji wote.

Hii ni baada ya mpangaji huyo kutofanya usafi wa choo kwa mwezi mzima. Hivyo wapangaji wenzake walianza kumrushia matusi kwa tabia yake ya kutofanya usafi wakati wa zamu zake.

Baada ya vita hiyo kutangazwa, waume wa nyumba hiyo wamesema wivu umeongezeka kutoka kwa Wake zao kwani wanapigiwa simu (ikiwemo video call) na wake zao zaidi ya mara kumi kwa siku kuulizwa wapo wapi, wanafanya nini.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
 
HII HAITOFAUTIANI NA KIBAKA MMOJA ALIBETI NA KULA LAKI TANO, AKATANGAZA KUWA HAPO MTAANI ANAENDA KUBORESHA KAZI YAKE, SASA WATU HAWAJUI NINI WAFANYE
 
Back
Top Bottom