π€£ππ€£ππWamemuweka Wassira ili awatishe Gen-z
CCM ni chama cha kishetani haswaUzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe
CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence
Mlale unono π
Kule hawafoji umri, Wasira atakuwa na zaidi ya miaka 100Nancy Pelosi spika mkongwe wa bunge la Congress alionekana anafaa na kustahili hadi akiwa na miaka 86.....
#Isiyo Kongwe Haivushi!
Alianza kushika nafasi za uongozi wakati gani?Nancy Pelosi spika mkongwe wa bunge la Congress alionekana anafaa na kustahili hadi akiwa na miaka 86.....
#Isiyo Kongwe Haivushi!
Wahuku ni kichaa hata sura yake haipingani na uhalisiaWa kule ulimtibu na kuthibitisha utimamu wake kinyume na tiba yako kwa huyu wa huku ?!!!