[emoji23][emoji23] aah wapi imetoka hiyoHawajaiba, kaenda kutumia atakurejeshea tu. Hata ukirudi kyupi hakipo wewe chukulia easy tu
Mabaya tuachie chukua mazuri yetuUswahilini watu wanaishi maisha mabovu sana yasiyo na mwisho mzur wala staha, kuchukuliana wake, waume, kusengenyana na kulogana hayo ndyo maisha ya uswazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, inakufanya hauwi bwege wala huishi kizembe kizembe! Ni jambo la kushukuru sanaUkienda dukani ufunge mlango, hata ukienda kuoga/ kukata gogo ufunge mlango la sivyo umeumia
Na usiku ukilala simu ufiche uvunguni mwa kitanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Uswazi sihami ase.. kuna mtaa unaitwa mandazi road mbagala zakhemu ukiwa na buku unakula unashiba na chenji inabaki..
Endeleeni kuishi masaki..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaYes, inakufanya hauwi bwege wala huishi kizembe kizembe! Ni jambo la kushukuru sana
Napenda utumbo na maini tu.. Nimemiss uswaz
Wapi upo nikupitie tukaile.. hunYa kuku? Mi pia aseeee
Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Naam, kunaongoza ila na mikoani si haba.Maisha ya wanaotamba kuishi dar hayo
Kwa Mtogole huko mama!? Na kule Uzuri!? dugu moya.Jioni kuna kaya zinakula nje kwenye jamvi, mtoto akitaka kukata gogo haendi mbali na nyinyi mnaendelea kula.
AMANI kabisa, kupiga mswaki tu ni kama anatafuna paja la kuku!!Hakuna stress.. maisha ni leo kesho ni majaliwa
Hahahaaa, nawasifia MKUU, siwakashifu.Tuacheni na maisha yetu. Pilipili iko shamba yakuwashia nini?!
Nadhani wengine wanapimisha watoto wao, maana hata uchuchumae bado nywele zitaonekana!!Choo cha uswazi kinajengwa kutokana na urefu we mama mwenye nyumba
LA sivyo wengine mchuchumae
Ukitoka tu mwengine anaingia, watu na mazoea yao bwana!!Kero yangu ipo kwenye vyoo tu yaani hakuna kitu huwa kinaniudhi kama choo kuwa ovyo, basi tu sina uwezo ningehama huku uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu BuzaKero yangu ipo kwenye vyoo tu yaani hakuna kitu huwa kinaniudhi kama choo kuwa ovyo, basi tu sina uwezo ningehama huku uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna miguu ya kuku na utumbo, vipi Dada, hutumii wewe!?Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Alaa kumbe mgeni huko!?tulia basi upate uzoefu!!.Hapana aisee unajua mimi choo kikiwa kichafu hata chakula sili vizuri mpaka nizoee hayo mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app