Uswahilini na starehe za kulazimisha

Uswahilini na starehe za kulazimisha

Kia maisha na yanaweza kuwa ya kustarehesha sana kama ukijua namna ya kuyaishi,

Ukiwa na pesa shea na ndugu, yaani ukisema tu ooh yaani pesa yangu ale mtu mwingine? Basi wewe ni njaa tu bado huna hela but mtu mwenye hela anaenjoy maisha yake kama akijua namna ya kuyaishi. Vivyo hivyo kwa mtu mwenye uwezo mdogo pia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Kuna miguu ya kuku na utumbo, vipi Dada, hutumii wewe!?
 
Back
Top Bottom