Uswahilini na starehe za kulazimisha

Badogo,

Mkuu umenikumbusha majuz hapa kuna sister du mmoja alikua best yangu. Mara ya kwanza nlifahamiana nae nlimpa lift maeneo ya flan ya katikat ya jiji si unajua jua na joto kali la Dar. Tulikua mabest ila ni mtu fulan wa mambo mengi sister du sana. Kuna siku nkamwambia nko maeneo ya kwenu akatoka kunichek around saa 2 usiku. Asee nimefia pale kwao kuna wapangaji 16 halaf wanatumia vyoo viwil tu. Nilikua na mshangao kidogo ila nkaona ndio maisha ya mjini. Japo yule sister du kwa muonekano haendani nayo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huu utaratibu wa miguu ya kuku sikuuacha, niliacha samaki wa kukaanga wanauzwa mafungu na wauzaji wote wana koroboi. Wale samaki nunua wale wadogo dogo wa mafungu. Wale wakubwa huwa wawanunuliwi sana unaweza kukuta yuko kwenye sinia wiki nzima.
Sasa hivi kuna mpaka utumbo wa kuku na vichwa unakaangwa fresh tu familia inakula imetoka hiyo uswaz sio mchezo tena kuku wenyewe hawa wa wiki 3😅😅😅
 
Uswahilini napenda mademu tu walivyo very simple. Hakuna kuzungushana wiki. Na wako vizuri kwenye 6×6 aisee!
Na ukikipiga fresh, kinaenda kuhadithia wenzake! Unaweza jikuta umepita na rafiki zake hata 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weekend iliyopita mida ya asubuhi hivi nipo zangu "mtaani" naanza kuona bonge la mziki limeletwa nyumba ya jirani, pilika pilika zikaongezeka za kina mama mara mchana naanza kusikia harufu ya pilau ya kufa mtu, mziki kibali kikachukuliwa kwa mjumbe watu wakeshe,

Sheria ni ile ile usipohudhuria kwenye sherehe ya mwenzako basi usitegemee kuona mtu kwenye shughuli yako yoyote, basi watu walijazana kama mechi ya simba na yanga pale mtaani ,

Mida ya mchaana nasikia sauti za tarumbeta zikija mtaani kwetu wanawake waliovaa sare za vijora na madela wakicheza kwa style ya kuachia "utamu" nje tokea barabarani (watoto wa uswazi washanielewa) . Zikaletwa kreti tatu za bia na ndoo kubwa ya lita 20 humu iliwekwa gongo ya masela , baada ya muda nikaona wale wadada waliokuwa wakikata mauno na tarumbeta wakicheza kuzunguka box fulani la ukubwa kiasi.

Nikaona isiwe kesi ngoja niulize kuna nini hapa leo, nilichojibiwa ndio nikachoka, "kwani hujui mama k leo anasherekea "besidei" yake???? (Mama K alikuwa ana range kwenye miaka 40s hivii.
Nikabakia mdomo wazi tu. Muda wa mpunga ukafika majirani tukaufinya mpunga wetu vizurii sanaaa na jioni kukawa na tukio la keki .
(kula keki kwa majina maalum) N:B kila kipande kimoja mlaji atachangia elfu tano. Baada ya hapo mziki ukafunguliwa rasmi watu wakakesha kwa rusha rohoo, siku ikaishia hapo.

Jana shule zimefunguliwa mtoto K wa mama K hajaenda shule kisa amekosa viatu vya shule.
 
Inavyoonekana Keki ilikua ndogo au watu walikuwa wakikata mapande makubwa, maana kwa elfu tano tano vipande kumi tu anaweka ndani elfu hamsini, Je, vipande hamsini angekusanya shilingi ngapi!? Iweje mtoto asiende shule!?
 
Hiyo mbona kawaida mkuu, huku wazazi wapo radhi pesa wafanye "shughuli" ila mambo ya msingi kama hayo sio kipaumbele kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…