binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Wapi upo nikupitie tukaile.. hun
Weekend imekwisha tusubiri ijayo lovie.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi upo nikupitie tukaile.. hun
Nimecheeeeka inaonekana enzi za mwaalimu ulikuwa mhanga bishaヽ(*゚ー゚*)ノ[emoji23][emoji23][emoji134]Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Miguu ya kuku, utumbo, testicles za jogoo zote unazikuta zimekaangwa vizuri sana! Kitu kinanukia lazima ule tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante San but xna jinxia ya umamaKaribu jijini Ma' mkubwa, nipo tayari kuwa mwenyeji wako!!
Sasa hivi kuna mpaka utumbo wa kuku na vichwa unakaangwa fresh tu familia inakula imetoka hiyo uswaz sio mchezo tena kuku wenyewe hawa wa wiki 3😅😅😅Huu utaratibu wa miguu ya kuku sikuuacha, niliacha samaki wa kukaanga wanauzwa mafungu na wauzaji wote wana koroboi. Wale samaki nunua wale wadogo dogo wa mafungu. Wale wakubwa huwa wawanunuliwi sana unaweza kukuta yuko kwenye sinia wiki nzima.
Hivyo vituko ndio wenyewe wanaita starehe!!
Yale ni maisha wanayoishi kwakua hawana namna jaman wakipata not hamuwaoni uswazi.Yale sio maisha ya kujisifia.
Trust me,pale uwanja wa fisi manzese,hatokaa atokee rais wa nchi hii pale kama mtoto anazaliwa pale na kukulia pale mpaka utu uzima.
Mazingira yana influence sana afya ya akili ya mtoto.
Maisha ya uswaz ni ya kijinga sanaa.
Napafahm na nimeish sana huko nikiwa single but nilipoamua kuzaa na kulea wanangu niliamua kuhamaaaa
Mkuu, we Mwanaume!?
Inavyoonekana Keki ilikua ndogo au watu walikuwa wakikata mapande makubwa, maana kwa elfu tano tano vipande kumi tu anaweka ndani elfu hamsini, Je, vipande hamsini angekusanya shilingi ngapi!? Iweje mtoto asiende shule!?Weekend iliyopita mida ya asubuhi hivi nipo zangu "mtaani" naanza kuona bonge la mziki limeletwa nyumba ya jirani, pilika pilika zikaongezeka za kina mama mara mchana naanza kusikia harufu ya pilau ya kufa mtu, mziki kibali kikachukuliwa kwa mjumbe watu wakeshe,
Sheria ni ile ile usipohudhuria kwenye sherehe ya mwenzako basi usitegemee kuona mtu kwenye shughuli yako yoyote, basi watu walijazana kama mechi ya simba na yanga pale mtaani ,
Mida ya mchaana nasikia sauti za tarumbeta zikija mtaani kwetu wanawake waliovaa sare za vijora na madela wakicheza kwa style ya kuachia "utamu" nje tokea barabarani (watoto wa uswazi washanielewa) . Zikaletwa kreti tatu za bia na ndoo kubwa ya lita 20 humu iliwekwa gongo ya masela , baada ya muda nikaona wale wadada waliokuwa wakikata mauno na tarumbeta wakicheza kuzunguka box fulani la ukubwa kiasi.
Nikaona isiwe kesi ngoja niulize kuna nini hapa leo, nilichojibiwa ndio nikachoka, "kwani hujui mama k leo anasherekea "besidei" yake???? (Mama K alikuwa ana range kwenye miaka 40s hivii.
Nikabakia mdomo wazi tu. Muda wa mpunga ukafika majirani tukaufinya mpunga wetu vizurii sanaaa na jioni kukawa na tukio la keki .
(kula keki kwa majina maalum) N:B kila kipande kimoja mlaji atachangia elfu tano. Baada ya hapo mziki ukafunguliwa rasmi watu wakakesha kwa rusha rohoo, siku ikaishia hapo.
Jana shule zimefunguliwa mtoto K wa mama K hajaenda shule kisa amekosa viatu vya shule.
Hiyo mbona kawaida mkuu, huku wazazi wapo radhi pesa wafanye "shughuli" ila mambo ya msingi kama hayo sio kipaumbele kabisa.Inavyoonekana Keki ilikua ndogo au watu walikuwa wakikata mapande makubwa, maana kwa elfu tano tano vipande kumi tu anaweka ndani elfu hamsini, Je, vipande hamsini angekusanya shilingi ngapi!? Iweje mtoto asiende shule!?
Unamtia Konzi la Kichwa Siku Nyingine arudiihili la mtu kukugongea mlango kisha wewe ukafungua ili umsikilze, yeye anawahi kupenyeza Kichwa ili aone ndani mwako kulivyo haliepukiki Mkuu!!i
Hiyo mbona kawaida mkuu, huku wazazi wapo radhi pesa wafanye "shughuli" ila mambo ya msingi kama hayo sio kipaumbele kabisa.Inavyoonekana Keki ilikua ndogo au watu walikuwa wakikata mapande makubwa, maana kwa elfu tano tano vipande kumi tu anaweka ndani elfu hamsini, Je, vipande hamsini angekusanya shilingi ngapi!? Iweje mtoto asiende shule!?