Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
- Thread starter
- #61
Dada maisha ya Uswazi umeyapenda sana!?Mabaya tuachie chukua mazuri yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada maisha ya Uswazi umeyapenda sana!?Mabaya tuachie chukua mazuri yetu
Aisee kumbe unabeba box, nilihisi hicho kitu. Ukija likizo unichukueNjoo kwa Malkia tubebe box.
Ukienda dukani ufunge mlango, hata ukienda kuoga/ kukata gogo ufunge mlango la sivyo umeumia
Na usiku ukilala simu ufiche uvunguni mwa kitanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Uswazi udokozi, leo tu wameniibia simple zangu mchana kweupeee. Niliacha asubuhi ninavyoenda kanisani kurudi jioni hazipoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Maini na utumbo ukivikuta Mazense ujue kuku kachinjwa Masaki, Miguu na Vichwa ukivikuta G/mboto ujue Kuku kachinjwa Buguruni, yaani iko hivi...Kuku akichinjwa Mbezi, Miguu yapelekwa Mwenge, Kidari Masaki, kipapatio Sinza, Shingo Mabibo, Kichwa Magomeni. Lazima tu Jiji utalipendaaaa!!Ya kuku? Mi pia aseeee
Karibu sana.Aisee kumbe unabeba box, nilihisi hicho kitu. Ukija likizo unichukue
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndio huwa mwaongoza kufungulia vyoo vyenu mvua zikipamba motoKero yangu ipo kwenye vyoo tu yaani hakuna kitu huwa kinaniudhi kama choo kuwa ovyo, basi tu sina uwezo ningehama huku uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Usisahu pweza na kachori za kibakuli...Miguu ya kuku, utumbo, testicles za jogoo zote unazikuta zimekaangwa vizuri sana! Kitu kinanukia lazima ule tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine ipo Mussa Hassan "Msasani" nyuma ya Ubalozi au ZantelMaandazi road nyingine ipo yombo vituka sifa yake kuu upatikanaj wa vitafunwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na viazi vya kukaanga! Acha kabisa aiseeee. Natamani nirudi kuwa bachelor. Bila kusahau "ukarimu" wa wapangaji wenzio!Usisahu pweza na kachori za kibakuli...
Hakuna Uswazi Fungu la DagaaTsh 200.......Uswazi kote Fungu ni Buku...Samaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.