Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Yaani we acha tuHalafu ndio huwa mwaongoza kugungulia vyoo vyenu mvua zikipamba moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we acha tuHalafu ndio huwa mwaongoza kugungulia vyoo vyenu mvua zikipamba moto
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukienda dukani ufunge mlango, hata ukienda kuoga/ kukata gogo ufunge mlango la sivyo umeumia
Na usiku ukilala simu ufiche uvunguni mwa kitanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaishi uswahilini basi bado hujaishi. Niliishi nyumba flani yaani yule Bibi alikua mwanga sijapata kuona, sema alikua ananipenda sana maana sikua na demu wala mademu. Akiamua kunizingua siku hio silali aiseeee, miaka ile ndio radio za FM zinaanza naamka naanza kusikiliza maombi. Hadi nikaokoka kwa lazima na kula kitimoto.Hahah...
Mutu mubaya wewe
Utumbo wa kuku maini na firigisi.Napenda utumbo na maini tu.. Nimemiss uswaz
Ukifanya hivyo asubuhi unakuta manyoya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Marufuku kuchat hadi usinzie.
Tamu sana hizi basi tu huku mikoani hawajui haya mambo. Hivyo vitu tunamtupia nyau.Utumbo wa kuku maini na firigisi.
Tamu hatari. Na kichwa cha kuku.
Karibu uswazi
Au ujidai unailaza kwenye chaji.
Kuna wapangaji wanakunya juu makusudi[emoji2][emoji38]Hapana aisee unajua mimi choo kikiwa kichafu hata chakula sili vizuri mpaka nizoee hayo mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamu sana hizi basi tu huku mikoani hawajui haya mambo. Hivyo vitu tunamtupia nyau.
Tazara hapo tuliwahi kula mafirigisi na utumbo wenye pilipili. Zile pilipili sijui zimeungwa nini maana zilikua tamu unaweza lia ugali japo silagi pilipili ila nilipenda.
Lini utakuwepo Dsm tukale mafirigisi
Kuna tofauti ya chachandu na pilipili.? Hata sijui maana situmii vitu vya kuwasha.Mkoa gani huo hawakangi miguu ya kuku, utumbo, firigisi, vichwa , maini? . Utakuwa unaishi mitaa ya kishua au mahali ambapo bado hapajachangamka wewe.
Bila kusahau vimiskaki vya shilingi 100, 100 na chachandu pembeni.
Unanunua mshikaki , unachovya kwenye chachandu hapo hapo kwenye libakuli unakula ukiwa umesimama.
Karibu sana huku uswazi nipo nimejaa tele.
Hata leo vers
Chachandu ndio pilipili.Kuna tofauti ya chachandu na pilipili.? Hata sijui maana situmii vitu vya kuwasha.
Nipo huku kigoma sio mjini sana, huwezi kuta mtu kakaanga hayo mafirigisi. Eti hawana uhaba wa mboga..hata ukichoma utakula ww. Miskaki na aupu za mia mia zipo. Ahombo unakaa nalo siku nzima
Lini tutakula wote...😁😁Chachandu ndio pilipili.
Mjini lazima watakuwa wanakaanga[emoji3][emoji3]
Ngoja nikakate tiketi ya treni nije tule hizo za Kigoma mjini.Lini tutakula wote...[emoji16][emoji16]
Hao wanga mimi ndio huwa napenda kuishi nao karibu, huwa nawanyuka kwa maombi hadi wanakaa sawa...Kama hujaishi uswahilini basi bado hujaishi. Niliishi nyumba flani yaani yule Bibi alikua mwanga sijapata kuona, sema alikua ananipenda sana maana sikua na demu wala mademu. Akiamua kunizingua siku hio silali aiseeee, miaka ile ndio radio za FM zinaanza naamka naanza kusikiliza maombi. Hadi nikaokoka kwa lazima na kula kitimoto.
Yule Bibi alikua ananuna na siku hio kutwa nzima hamtaonana, hata ushinde hapo hapoHao wanga mimi ndio huwa napenda kuishi nao karibu, huwa nawanyuka kwa maombi hadi wanakaa sawa...
Majibu yake unayapata mchana kwa minuno na misonyo [emoji16]
Wahi asee.. Ule samaki na dagaa wa kuchoma kwenye majani ya ndiziNgoja nikakate tiketi ya treni nije tule hizo za kigoma mjini