MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Kuombana chumvi,mafuta,unga
Naomba uniekee wali kwenye kibakuli kidogo nionje
Kuazimana sasa Dar
Kama unaka laptop chako unacheki series basi wadada au washkaj watataka waje waangalie kila siku hawajali kama utakuwa na kazi nayo siku hio
Wadada kujitongozesha plus kula kwa masihara ,ugomvi wa kuchukuliana mabwana na wanazidunda kwelikweli
Ukiwa kijana ukiwa at least umezoeana labda kwa salamu na mke wa jamaa utaambiwa unatoka nae
Akibisha hodi ukisema karibu halafu ujiandae utoke ukamuone haha hapo ataanza kuingia yeye chap ili akuone ndani
Kulivyo
Kama ni kijana analeta mademu wadada na mabinti watakuwa wanamsengenya kwelikweli ila ukiwa mkimya na mambo yako hauleti demu my fulendi watajigongesha kwelikweli
Ukiwa serious utaambiwa unajiona sana
Ni kosa kununua vitu vizur halafu upite navyo wakuone .ingia navyo usiku
Baba au mzee mwenye nyuma au maza house akijua unaandaa vitu vizur ataomba umewekee na yeye
Kama mshikaj anaingiza mademu na mama mwenye nyumba ana watoto wakike umri wa kuolewa lazima utahama tu usiulize kwa nini
Ni kosa kupanga kwenye nyumba ambayo mzee au mama mwenye nyumba anaishi hapohapo na anategemea kodi zenu yaani mtawekewa michango isiyoeleweka na kila siku itakuwa inapanda mfano taka na usafi
Watoto kunya pembeni hii inauzi sana wangewanunulia. Pot au waende nao toilet wawasimamie sio maeneo karibu na nyumba usipoangalia unakanyaga kinyesi
Wanaume kuwapiga wake zao hio IPO sana
Chumba kimoja kuishi baba mama na watoto hio IPO sana akija mgeni anaombewa hifadhi kwako
Usiache ndala zako ambazo unaendea bafuni nje lazima watatumia wengine wakiziona
Foleni ya maji mtu anaeka ndoo mapema kabla hata maji hayajatoka na anajaza mlima mwengine anaeka jiwe kabisa
Ukitaka kuoga oga usiku na kunya usiku usiulize kwa nini ukiamka asubuhi utaona show yake
Mziki sabufa na makelele aisee bila kusahau watu kuekeana taarabu za kuchambana hayo makelele yake sio poa
Mtu anaweka muvi ya kutafsiriwa sauti Kali kwenye spika sjui anatafuta nn kwan hawez kuskiliza taratibu peke ake
Kwenye story zao wakisimuliana kila mtu ana ndugu wa kishua au uko kwao walipotoka ni wakishua hakuna anaependa kujiweka chini
Kushindana kuvaa na uchumi wao wala hauruhusu shida yote jirani amuoenee sjui huu upuzi wanatoa wapi
Kukopana kwa sana aisee uswazi inaongoza kwa kukopana
Baadae nitaendelea au niishie hapahapa?
Sent using Jamii Forums mobile app