Kukiwa na pombe za bure mambo huwa hivi!View attachment 61319
Uswahilini kuna umoja sana.
Sometimes unakera (ukizidi)
Ila katika hali ya kawaida tuu
napenda ule umoja wa kitaa
Kukiwa na pombe za bure mambo huwa hivi!View attachment 61319
wangu vip?..
eti uswazi maana yake nini kwa kiswahili?...
afu nimekumis ww!