Nyamtukila
Member
- Dec 9, 2017
- 29
- 5
Mimi kukujibu ili chaji yangu ya simu na bando liishe kidogo. Sikujibu kama mtaalam.Wadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa yote muda wote kwa siku?
Tunachimba visima vya maji bei ni kwa wateja wa Dar es salaam elfu sabini kwa mita moja bomba Inchi 4.5 na elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mkoa wa pwani bei ni elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mikoani bei ni laki na ishirini kwa mita mojaWadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa yote muda wote kwa siku?
ivi kwanini hii huduma ina bei sana?Tunachimba visima vya maji bei ni kwa wateja wa Dar es salaam elfu sabini kwa mita moja bomba Inchi 4.5 na elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mkoa wa pwani bei ni elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mikoani bei ni laki na ishirini kwa mita moja
Nb: wateja wote ambao ardhi ya site zao zinamiamba migumu tutawachimbia kwa mita moja laki na ishirini
bei zote hizo utawekewa bomba (pvc), pampu pamoja na vifaa vyake bure pamoja ma kusafishiwa kisima chako
kwa mawasiliano 0625576082
Kwa sababu maji ni uhaiivi kwanini hii huduma ina bei sana?
Inategemea na location MkuuWadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa yote muda wote kwa siku?
Kwa uzoefu wako,baada ya kupima upatikani kabla ya kuchimba unaweza kujua kama vipimo vinaonyesha chumvi au la. Nina eneo kama eka 8 hivi nilidhani kama inawezekana kuchukua sampuli nyingi,halafu tunachagua iliyobora.Inategemea na location Mkuu
Kama unachimba mahali ambapo water table ipo karibu utapata maji haraka bila kuingia ndani sana.
Na kama unachimba mahali ambapo kuna chemchem nyingi za chini pia utapata maji mengi kuliko mahali penye chemchem moja au chache.
Kama ni kupima kiwango cha chumvi, magadi etc. Watakupimia tu wachimbaji na watakupa taste ya maji ya mwsho.Kwa uzoefu wako,baada ya kupima upatikani kabla ya kuchimba unaweza kujua kama vipimo vinaonyesha chumvi au la. Nina eneo kama eka 8 hivi nilidhani kama inawezekana kuchukua sampuli nyingi,halafu tunachagua iliyobora.
Acha ubahiri, maji ya mvua sio mazuri kwa miaka hii, carcinogenic element ni nyingi, kutokana na pollutions mkuu.Binafsi nilikua na wazo la kuchimba kisima shambani, lakini kila nikifikiria guarantee ya kupata maji yasiyokua na chunvi milele, naona bora nichimbe lambo kubwa nivune maji ya mvua, pia nitapunguza gharama.
Hahaaaaa, wacha kutishia nyau wewee, hizo effects wacha zije nitakabiliana nazo tuu.Acha ubahiri, maji ya mvua sio mazuri kwa miaka hii, carcinogenic element ni nyingi, kutokana na pollutions mkuu.
Chimba kisima
Wanapatikana wapi? Tuma hata link yaoWATAFTE PDPR NJOMBE HAWA JAMAA WAKO POA SAAANA NI WATALAAMU NAZANI WATAKUSAIDIA SAANA HAO NI WATALAAMU NA BEI ZAO ZIKO CHINI SAANA NA HUDUMA YAO NI QUALITY BALAA
Dah. Mkuu hivi uliwaza nini?Huu uzi hata MMU unaenda, saaafi kabisa. MMU nako kuna visima na wataalam wa visima.
Bado unafanya kazi hizi?.kwa uzoefu wako buyuni- kigamboni inaweza kuwa mita ngapi ili kufikia maji?Tunachimba visima vya maji bei ni kwa wateja wa Dar es salaam elfu sabini kwa mita moja bomba Inchi 4.5 na elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mkoa wa pwani bei ni elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mikoani bei ni laki na ishirini kwa mita moja
Nb: wateja wote ambao ardhi ya site zao zinamiamba migumu tutawachimbia kwa mita moja laki na ishirini
bei zote hizo utawekewa bomba (pvc), pampu pamoja na vifaa vyake bure pamoja ma kusafishiwa kisima chako
kwa mawasiliano 0625576082
Bado unafanya kazi hizi?.kwa uzoefu wako buyuni- kigamboni inaweza kuwa mita ngapi ili kufikia maji?