py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Kuelekea Mechi ya Algiers na Yanga ,wiki iliyopita namba zilisema yanga angeshinda na kutoruhusu bao na kweli alishinda hebu tuangalie Leo namba zinasemaje.
siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk
Algiers yanga
15
Mechi inachezwa tarehe 15 na namba 15 ni witiri haigawanyiki kwa mbili...Algiers namba yake kitabibu ni 1,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivyo Algiers na yanga wote wana namba witiri..
A=1+12=13+15=28
Y=25+1=26+15=41
A=√28
Y=√41
NB:Mechi hii Algiers atashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 15 ni namba witiri na mwezi wa 4 ni shufa na mahesabu ya kitabibu yanaonyesha namba za yanga hazilingani na namba za Algiers zinalingana ,hivo Algiers tayari wameshashinda mechi hii.lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohar,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.