Utabibu: hakika namba hazidanganyi,nyota na namba zinasema Leo yanga anafungwa na Algiers anashinda

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kuelekea Mechi ya Algiers na Yanga ,wiki iliyopita namba zilisema yanga angeshinda na kutoruhusu bao na kweli alishinda hebu tuangalie Leo namba zinasemaje.

siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk

Algiers yanga
15

Mechi inachezwa tarehe 15 na namba 15 ni witiri haigawanyiki kwa mbili...Algiers namba yake kitabibu ni 1,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivyo Algiers na yanga wote wana namba witiri..

A=1+12=13+15=28
Y=25+1=26+15=41

A=√28
Y=√41

NB:Mechi hii Algiers atashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 15 ni namba witiri na mwezi wa 4 ni shufa na mahesabu ya kitabibu yanaonyesha namba za yanga hazilingani na namba za Algiers zinalingana ,hivo Algiers tayari wameshashinda mechi hii.lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohar,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.
 
...nonsense!
..tabiri atafungwa goli ngapi,zitafungwa na nani kwenye dakika gani!
 
Utabiri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea meza fc.
 
Mkuu angalia vizuri timu yetu sio Yanga ni Dar es salam Young African
so unatakiwa kuanza na herufi D.
 
Kuelekea Mechi ya Algiers na Yanga ,wiki iliyopita namba zilisema yanga angeshinda na kutoruhusu bao na kweli alishinda hebu tuangalie Leo namba zinasemaje.

siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk

Algiers yanga
15

Mechi inachezwa tarehe 15 na namba 15 ni witiri haigawanyiki kwa mbili...Algiers namba yake kitabibu ni 1,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivyo Algiers na yanga wote wana namba witiri..

A=1+12=13+15=28
Y=25+1=26+15=41

A=√28
Y=√41

NB:Mechi hii Algiers atashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 15 ni namba witiri na mwezi wa 4 ni shufa na mahesabu ya kitabibu yanaonyesha namba za yanga hazilingani na namba za Algiers zinalingana ,hivo Algiers tayari wameshashinda mechi hii.lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohar,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.
Porojo nyiingi...ungekua mtabiri mzuri ungeenda kubeti umfilisi mhindi sio kudanganya watu humu
 
Yanga hata akifungwa itakuwa ni uwanjani ila kagera alishindia uwanjani matokeo yakabadilishwa mezani.sokagiza
 
Back
Top Bottom