nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 805
Mkuu umenifurahisha eti inaonyesha hizo ni fani za watu sasa yebo kapigwa 4G btw waarabu kwa ukanda wetu tunapigwa sana.Mkuu namba nimejaribu mfumo wako wa Namba inaonesha marudiano
hakutakuwa na goli lolote.
Ilikua utabiri wa mechi ya kwanza, yanga ilishinda kweliMkuu umenifurahisha eti inaonyesha hizo ni fani za watu sasa yebo kapigwa 4G btw waarabu kwa ukanda wetu tunapigwa sana.
Nilikuwa na maanisha hakutakuwa na goli kwa Yanga hivyo niliatia.Mkuu umenifurahisha eti inaonyesha hizo ni fani za watu sasa yebo kapigwa 4G btw waarabu kwa ukanda wetu tunapigwa sana.
Hizo hesabu mnapigaje mkuuWatanzania hasa Yanga kelele mingi kabla ya mechi baada ya mechi mkia makalioni!? Yanga mtashinda kwa maandalizi gani mliofanya? Mpira ni maandalizi mpira ni sayansi na mpira ni ufundi sio nyota ungekuwa mpira ni nyota au uchawi Nigeria ingekuwa bingwa wa dunia au Sumbawanga wangekuwa na timu nne EPL acheni ujinga wa karne ya 17
Waulize wazee wa 4GHizo hesabu mnapigaje mkuu
Ufundishwe kufeli. Nyota zilishapotezaga muelekeo longtime. Achana na habari ya kuishi kwa kutegemea nyota.Mkuu hyo hesabu umepigaje?nakuja pm.unifundishe