Utabiri: 2025 Upinzani utachomoza na kushinda viti vingi kupitia agenda ya Hayati Magufuli

Mkuu umeongea kwa uzito mkubwa sana.

Je hauoni kama vile kuna upinzani wa kweli behind unakuja kwa kasi kubwa? CCM inaenda kushangazwa
 
atajayeiokoa ccm ni Samia wananchi wameanza kumwamini. watu wanamtazama mtu aliye juu kabisa hawajali kitu kinaitwa ccm
Wananchi gani hao?

Hakuna tumaini kwake. Anachemka hadi Msoga anatoka back bench kukemea wanaopungukiwa na imsni kwa Hangaya
 
Actually vina MASHIKO sana.

Ndio maana MAMBURULAAZZZ yenye vyeti feki yana hasira sana na mwamba wa Afrika JPM.

Tulichoshwa na UKILAZA, lazima waende shule wakaelimishwe ili wawe SMART na sio MBURULAAZZ.
 
Porojo,nitajie ajenda za Mwendazake watakazotumia.
 
Wameridhiana kuisema Serikali Kwa staha Hasa kwenye suala la njaa na mfumuko wa Bei na vitu vinavyosababisha Hali ngumu ya maisha.

Bt dalili za kufanyika uchaguzi mkuu 2025 Bado hazionekani😳😳
 
Wameridhiana kuisema Serikali Kwa staha Hasa kwenye suala la njaa na mfumuko wa Bei na vitu vinavyosababisha Hali ngumu ya maisha.

Bt dalili za kufanyika uchaguzi mkuu 2025 Bado hazionekani😳😳
Upo sahihi.

Maana yake ni kuwa hakuna wapinzani kwa sasa

Lakini 2025 upinzani utakuwepo
 
Mkuu uko sahihi, je unategemea kuja wapiga kura wa maana?
 
Mpaka sasa mzani unaonesha kwamba pamoja na kwamba CCM, CDM na ACT wameungana kupambana na JPM ambaye kiuhalisia ni mfu bado hawajaweza kumzidi NGUVU aliyonayo katika ulimwengu wa roho na nafsi za wanannchi kasoro baadhi ya wanasiasa wabadhirifu, wezi, mafisadi na waharifu wote. Miaka miwili imepita bila uwepo wake lakini walio hai wanapambana naye bila kushinda maajabu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…