UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea...
Haiwezekani kabisa. France lazima achukue kwa sababu defense yao iko vizuri na forward iko safi.
 
Haiwezekani kabisa. France lazima achukue kwa sababu defense yao iko vizuri na forward iko safi.
Defense ya ufaransa ipo vizuri?? Utawakataa hiyo jumapili maana wanaenda kuloweshwa.
 
Ipo vizuri sana. We angalia waarabu wa Africa walivyojaribu ila kote walishindwa
Walishindwa si kwa ubora wa defenc ya France ila kwa ubutu na kukosa uzoefu mkubwa zaid ktk safu ya ushambuliaji ya Morocco.

Achana na Messi na Alvarez, wale watu hawawezi kumuacha mtu salama.
 
Walishindwa si kwa ubora wa defenc ya France ila kwa ubutu na kukosa uzoefu mkubwa zaid ktk safu ya ushambuliaji ya Morocco.

Achana na Messi na Alvarez, wale watu hawawezi kumuacha mtu salama.
Messi simpendi mno, nilisha bet mil 40 France 02 na Argentina 0, goli la kwanza litafungwa Dakika ya 15 na la pili Dakika ya 41 yote kipindi cha kwanza.
 
Ni sawa na kusema, America na Urusi wakianzisha vita ni nani atashinda? Wote ni wababe! Atakaekosea katika mbinu za kivita atashindwa.
 
Back
Top Bottom