milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Hongera jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maoni tofaut na jamaaHuo Ndio unaitwa u kale chambua vikosi vyote kiufundi na uje na conclusion,! Mambo ya Sangoma hayana nafasi katika soka ni ujinga na kujidanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna linalo shindikana chini ya jua mkuu, ila timu yetu ni mbovu.
Kunguru kumyea binadamu haimaanishi ana shabaa sana, coincidence zipo!
HakikaNilikuambia
Fatilia post zangu ,nishatabir nyingi na sijawahi kukosea huwa nipo 99%Mkuu hebu tupe baadhinya mechi ulizotabiri kwa namba tuone.
Fatilia post zangu ,nishatabir nyingi na sijawahi kukosea huwa nipo 99%
Mkuu ingekuwa namba witir n namba ip ingeshindaFatilia post zangu ,nishatabir nyingi na sijawahi kukosea huwa nipo 99%
Sitabir kwa interest za wakubet bali the whole team ,mwisho itakuwajeGemu ilitoka Sare hivyo mtabiri amekosea kama ulibet kwa utabiri wake