Mimi naleta hutabiri ya kwamba. Baada ya maigizo haya Kuna li fisiemu limoja litabinuka makuntu juu zaidi. Itakuwa sherehe duniani kote.Kuna sehem nimeandik kwamb ni ajabu kuwa na waziri mkuu mwanamk?
Mimi nimeleta utabiri wa kile nlichokiona kinaenda kutokea. Mengin nyinyi ndo mnaandika.
Na wewe utakuwa waziri wa mambo ya nje🤣🤣🤣.Tulia atakua PM na Jenister atakua Spika.
Mark my words.
Mtu yoyote anweza kuwa Waziri Mkuu maana kazi kubwa ni kuzunguka kwenye makongamanoNoma san aisee 🤣🤣🤣🤣
Yap huku Rais ndiyo kila kituHiyo ni kwa Tz tu lakin nchi zenye watu makin w/ mkuu ni cheo kikubwa sana chini ya raisi na makam wake.
Nimeiona kwenye ndoto usiku wa leo. Na mwanamke niliyeonyeshwa ni Tulia AksonNiaje waungwana
Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huo utakuwa wenye mshangao, na mjadala mkubwa kutokana na ugeni wa mteuliwa, ila mwisho hali itatulia na waziri mkuu ataapishwa na kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Wale mnaofikiri kuwa nafasi hiyo itaenda kwa Mchengerwa (mkwe), Makonda (mtoto wa kambo), au Biteko msahau kabisa mawazo hayo.
Faida yake itakuwa nini kwa Taifa ???Niaje waungwana
Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huo utakuwa wenye mshangao, na mjadala mkubwa kutokana na ugeni wa mteuliwa, ila mwisho hali itatulia na waziri mkuu ataapishwa na kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Wale mnaofikiri kuwa nafasi hiyo itaenda kwa Mchengerwa (mkwe), Makonda (mtoto wa kambo), au Biteko msahau kabisa mawazo hayo.
Sio poa rais ke pm keAisee
Majibu yako yanaonyesha majibu niliyokuwa nafikiriaHuu ni utabiri, sasa mambo ya faida, au hasara muulize mumeo hapo nyumban
Jibu la swali hili analo mama yako.
Cha ajabu kipo,kwani wanaume wa taifa hili wanasemaje?Kama rais tunaye sasa waziri mkuu kuwa mwanamke Kuna nini cha ajabu?