bint white
Senior Member
- Oct 4, 2015
- 168
- 323
Acha uchawi wako hapa, asbh yote hii khaaaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Embu fanya kama unatabiri mechi mojawapo ya jana tuone kama iliendana na mahesabu yakoLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Nilitabir ya madrid na aneshindaEmbu fanya kama unatabiri mechi mojawapo ya jana tuone kama iliendana na mahesabu yako
Natamani iwe hivyo.Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Tafadhali fanya marejeo ya utabiri wa mechi ya tar.16 April 2017 kati ya Westbrom na LiverpoolLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
We=24+5=29 +16=45Tafadhali fanya marejeo ya utabiri wa mechi ya tar.16 April 2017 kati ya Westbrom na Liverpool
Yaleyale ya sheikh Yanga mpira ni ufundi mwingine ASA kwa wenzetu ulayaLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Sio kweli, hiyo herufi L kwa Liverpool inasimama kama 12 na si 13 na hiyo W kwa West Brom ni 23 na sio 24We=24+5=29 +16=45
Li= 13+9=22+16=38
na liver alishinda 1 bila
A=1hizo tarakimu ulizojumlisha na 19 umezitoa wapi?
18+18+5 hpo mbona n 41????Nilitabir ya madrid na aneshinda
Leo ni tareh 18/4
Re= 18+5+18=40
Ba=2+1+18=21
Real madrid ni namba shufwa na baryen sio shufwa
Hivo real madrid ana nafas kubwa ya kushinda,
Anasapotiwa na tareh na mwezi zote ni shufwa zinalingana
MPE REAL MADRID HUTOJUTA LEO
Huyu mtabiri hesabu hazijui hahahahahaaa ngoja tuone atakuja na utetezi gani18+18+5 hpo mbona n 41????