Utabiri: Barca na Juve watadroo

Utabiri: Barca na Juve watadroo

Tumuelewe nan xax alyepga hesab jana alpata shufa zote ndo akasema draw xax ww witir af ye hakuwema mwaka we kwann umeweka
Tuelewe lipi tuache lip
yeye alifupisha kwa maana mwezi au au mwaka wakati mwingine haubadilishi 'value' pili wengi hukosea kwa kutojua jina sahihi la timu. mfano 'real' madrid, 'real' sociedad
 
Nyota ya Siku Inapatikanaje??? Na ikiwa moja ni Shufaa na nyingine witiri Hapo nani anashinda??? Msaada waungwana
 
Daaah, wabongo kwa tamaa, yaani woooote mmekomaa mnataka kuwa watabiri? Sasa ni hivi, hapa hafundishwi mtu. Ukitaka matokeo kwa ajili ya kubeti, unatuma PM mkeka wako na ada ya sh 20,000 tu. Ukipiga hela zako ni kivyako tu na sisi tushamalizana. Changamkia pesa hizo at your own risk.
 
Leo ni tarehe 19/4

Ba= 2+1+19=22

Ju=10+21+19=50

Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi

Hivo hii mechi naipa droo

NB:ni mtizamo wangu tu
Nimekukubali, hii ni mech ya tatu naona umepatia
 
Nilitabir ya madrid na aneshinda

Leo ni tareh 18/4

Re= 18+5+18=40

Ba=2+1+18=21

Real madrid ni namba shufwa na baryen sio shufwa

Hivo real madrid ana nafas kubwa ya kushinda,

Anasapotiwa na tareh na mwezi zote ni shufwa zinalingana

MPE REAL MADRID HUTOJUTA LEO
Kwa betting aleyempa Real Madrid kaliwa. Maana Betting inahesabu dak 90 tu.. Labda kama ulicheza AET...
 
Leo ni tarehe 19/4

Ba= 2+1+19=22

Ju=10+21+19=50

Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi

Hivo hii mechi naipa droo

NB:ni mtizamo wangu tu
Hapo kwenye Ba hiyo 2 na 1 umezitoa wapi?

Na kwenye Juvr hiyo 10 na 21 umezitoa wapi?
 
Daaah, wabongo kwa tamaa, yaani woooote mmekomaa mnataka kuwa watabiri? Sasa ni hivi, hapa hafundishwi mtu. Ukitaka matokeo kwa ajili ya kubeti, unatuma PM mkeka wako na ada ya sh 20,000 tu. Ukipiga hela zako ni kivyako tu na sisi tushamalizana. Changamkia pesa hizo at your own risk.
Mkuu kwanni usiweke wewe hela na wewe ushinde.badala ya kutaka 20,000 zetu acha hizo.ndo maana wabongo hatuendelei.sheikh yahaya angekuwa kama wwww tungeteseka sanaa
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom