Utabiri: Barca na Juve watadroo

Utabiri: Barca na Juve watadroo

Kuna siku nilikutana na utabiri mechi ya simba na yanga jamaa akasema simba anashinda. Cha ajabu yanga akapata bao kipindi cha kwanza mechi ikiwa 1-0 simba akala red huwez amin wakasawazisha na kushinda 2-1 ndipo nikaamin namba haidanganyi
 
Leo ni tarehe 19/4

Ba= 2+1+19=22

Ju=10+21+19=50

Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi

Hivo hii mechi naipa droo

NB:ni mtizamo wangu tu
Tusaidie na ile rufaa ya saa 72 maana Mezani FC wanatusumbua.
 
Tabiri
Chelsea vs Totenham 22/4
Man. City vs Arsenal 23/4
 
Kwa hesabu hzo jana nlculculate ilileta dortmund atashnda lakn kapgwa kwahyo usiamn hii hesabu kwa 100% mtanyooka wenzangu
Akili za kupewa changanya na zako
Utakuwa umepiga hesabu vibaya, au utakuwa umepiga hesabu bila kuzingatia nyota ya siku hiyo ili mfeva (favour) timu ipi.
 
Back
Top Bottom