Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
ohoooouw!!!18+18+5 hpo mbona n 41????
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohoooouw!!!18+18+5 hpo mbona n 41????
Kula la likes duuuuu we balaaaLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Mkuu izo namba za katikat znapatikanajeLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Kiongoz izo namb za katikat znapatkan vpNimejaribu kupiga hesabu gemu zilizopita kat ya Ajax Vs sch4,Aj=1+10+13=24 Sc=19+3+13=35 kwhy hapo nani alishinda?
SareHii ina maana Elcasico Madrid anashinda jumapili au?
Tusaidie na ile rufaa ya saa 72 maana Mezani FC wanatusumbua.Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
TareheKiongoz izo namb za katikat znapatkan vp
Pitia uzi kwanzia mwanzo hadi mwisho utaona mtu kauliza na kaelekezwaMkuu izo namba za katikat znapatikanaje
Utakuwa umepiga hesabu vibaya, au utakuwa umepiga hesabu bila kuzingatia nyota ya siku hiyo ili mfeva (favour) timu ipi.Kwa hesabu hzo jana nlculculate ilileta dortmund atashnda lakn kapgwa kwahyo usiamn hii hesabu kwa 100% mtanyooka wenzangu
Akili za kupewa changanya na zako
Utakuwa umepiga hesabu vibaya, au utakuwa umepiga hesabu bila kuzingatia nyota ya siku hiyo ili mfeva (favour) timu ipi.
Namaan hiz namba za kati zinatoka wapi,mfanoPitia uzi kwanzia mwanzo hadi mwisho utaona mtu kauliza na kaelekezwa