Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sasa kama unapigwa na Real sociedad utamfunga nani tena ?Mkuu emu pitia fixture ya laliga ipo open sana kwa barcelona kuzidi madrid
hawatachukua kombe lolote?sasa kama unapigwa na Real sociedad utamfunga nani tena ?
sasa kama unapigwa na Real sociedad utamfunga nani tena ?
hapa nazungumzia mwenendo mzima wa barca mkuu , hali si shwari .Mimi si mshabiki wa Barca ila barca hafanyi vizur pindi anapocheza na reak sociedad yaan huwa inamsumbua saana kwa hyo hicho sio kipimo cha kuipima barca na makombe
Big up man.. Mleta mada anabonga tu.. Hata historia hajui. Hili ni tatizo la kujadili soka na watu walioanza kushabikia soka mwaka jana.Hebu nenda kwanza ukatafute kwa mara ya mwisho Barca iliifunga Real Sociedad lini huko kwao?
Mkuu naona kama umepitiwa hapo kwenye 2017!!Inaelekea wewew sio mfuatiliaji wa soka barc kupoteza mechi mbili za ligi sio kwamba kaishia pumzi Iko hivi
Barcelona vs real Madrid
Hapa Barcelona waliingia uwanjani ila akili zao zilikuwa katika game ya atletical ambayo ukifungwa umefungwa(kumbuka ligi walikuwa mbele kwa point 7 dhidi ya atletical na kumi dhidi ya real)
Real socciedad vs Barcelona
Hapa hakuna ubishi tangu mwaka 2017(kama sikosei) Barcelona hakuwah kumfunga huyu jamaa ugenini
Nilipoona hii thread nikajua utakuwa umechambua vizur ila upo kiushambiki zaidi
Typing errorMkuu naona kama umepitiwa hapo kwenye 2017!!