Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
asante kwa uchambuzi makini mkuu , arsenal imedrop mpaka nafasi ya 4 , niliwahi kuandika kwenye tovuti ya arsenal kama 2 years back kwamba arsenal haiwezi kutwaa ubingwa wa ligi kuu under Arsene Wenger na ndio kinachotokea .-Barca yupo fainali dhidi ya Sevila mwezi ujao.
-Game ngumu ilibaki kwa Barca ilikuwa ni ya Jmos dhidi ya Sociedad sababu tangu 2007 Barca hajawahi beba ushindi uwanjani hapo. Hata akipoteza mchezo mwingine bado League ataongoza.
-Barca bado ana nafasi UEFA kusonga mbele, na endapo Real Madrid akitoka, kombe linarudi tena Barca.
-Arsenal mpaka sasa mnapigania kombe gani?