Utabiri - Barcelona haitatwaa ubingwa wowote msimu huu

Utabiri - Barcelona haitatwaa ubingwa wowote msimu huu

-Barca yupo fainali dhidi ya Sevila mwezi ujao.

-Game ngumu ilibaki kwa Barca ilikuwa ni ya Jmos dhidi ya Sociedad sababu tangu 2007 Barca hajawahi beba ushindi uwanjani hapo. Hata akipoteza mchezo mwingine bado League ataongoza.

-Barca bado ana nafasi UEFA kusonga mbele, na endapo Real Madrid akitoka, kombe linarudi tena Barca.

-Arsenal mpaka sasa mnapigania kombe gani?
asante kwa uchambuzi makini mkuu , arsenal imedrop mpaka nafasi ya 4 , niliwahi kuandika kwenye tovuti ya arsenal kama 2 years back kwamba arsenal haiwezi kutwaa ubingwa wa ligi kuu under Arsene Wenger na ndio kinachotokea .
 
Mhhh sorry hv mwaka 2003/2004 wakati arsenal wanachukua ubingwa Wenger alikuwa bado hajaenda arsenal?
 
Mhhh sorry hv mwaka 2003/2004 wakati arsenal wanachukua ubingwa Wenger alikuwa bado hajaenda arsenal?
nisamehe mkuu , nililenga kuandika kwamba hawatatwaa tena ubingwa chini ya arsene wenger , natambua kwamba walishachukua ubingwa chini yake .
 
asante kwa uchambuzi makini mkuu , arsenal imedrop mpaka nafasi ya 4 , niliwahi kuandika kwenye tovuti ya arsenal kama 2 years back kwamba arsenal haiwezi kutwaa ubingwa wa ligi kuu under Arsene Wenger na ndio kinachotokea .
Hata bila wewe kuandika mimi nilishajua hilo miaka 10 iliyopita kabla hata ya kuitwa Arse8. Kingine EPL haiwez twaa Uefa hata kwa miaka 10 inayo
 
hawatachukua kombe lolote?
hii post yako imekaa kihisia zaidi kuliko kiuchambuzi, labda ungesema "inaweza isichukue kombe lolote " ingeonekana smart kidogo
Barcelona wanaongoza ligi ambayo inakaribia kuisha kwa point 3, copa del rey wapo hatua za mwishoni na Uefa wapo robo fainali, na tayari wameshashinda nyumbani
sasa ni mtu gani atasema haitachukua lolote?
hilo la kufungwa na real sociedad linatokea, ile ni ligi na kuchukua ligi haimaanishi ufunge kila timu kibonde,
Hahaha tupe maoni mengine mkuu
 
Hata bila wewe kuandika mimi nilishajua hilo miaka 10 iliyopita kabla hata ya kuitwa Arse8. Kingine EPL haiwez twaa Uefa hata kwa miaka 10 inayo
Hapa ndipo kila MTU anakushangaa ulituambia barca akitolewa na atletico upigwe ban , man city akichukua uefa tutakachofanya ni kila ukiandika humu tunakuwekea maneno yako ili tuendelee kukuenjoy kumbuka soka sio mawazo yako
 
Back
Top Bottom