Utabiri: Bayern Munichen mabingwa wa Uefa 2017/18

Utabiri: Bayern Munichen mabingwa wa Uefa 2017/18

Nywilla

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
379
Reaction score
349
Naiona fainali ya Bayern Fc na Roma Fc, ambapo Matokeo ni Bayern Munich 3 - 1 Roma. HATIMAYE BAYERN BINGWA Unde Jupp h.
 
Naweza kukuunga mkono kwa kiasi fulani.. Ila Liverpool wananipa wasiwasi Sana aseeeh
Ni kweli mkuu ila Liverpool ni kama Leicester city walivokuwa msimu jana ambapo nawafananisha na watu fulani walioanzisha safari kwa kufunga mizigo yote na chakula kwamba tutakapoishiwa na chakula ndo hapo tutafanya makazi mkuu.
 
Naiona fainali ya Bayern Fc na Roma Fc, ambapo Matokeo ni Bayern Munich 3 - 1 Roma. HATIMAYE BAYERN BINGWA Unde Jupp h.
Roma anamtoa nani mpaka afike fainali? Shitungulu unazingua! Bingwa wa mwaka huu ni Liverpool FC YNWA!
 
Ni kweli mkuu ila Liverpool ni kama Leicester city walivokuwa msimu jana ambapo nawafananisha na watu fulani walioanzisha safari kwa kufunga mizigo yote na chakula kwamba tutakapoishiwa na chakula ndo hapo tutafanya makazi mkuu.
Kumbuka ndo timu pekee ambayo haijafungwa mpaka sasa.
 
Roma anamtoa nani mpaka afike fainali? Shitungulu unazingua! Bingwa wa mwaka huu ni Liverpool FC YNWA!
Bayern wakipangwa dhidi ya Roma, Bayern anaaga mashindano. Na madrid akipangiwa na Liverpool basi bila shaka Madrid itakuwa ndio mwisho wao. Labda wapate bahati ya refa kama ilivyokuwa msimu uliyopita dhidi ya Bayern na jana dhidi ya Juve
 
Tunza maneno yangu hakuna wa kumzuia Madrid kutinga final.
 
Real Madrid hiyo hatua anayokwenda ndiyo ngumu zaidi kama amefuzu kwa mbinde dhidiJuve hiyo hatua ndiyo itakuwa safari yake ya mwisho
 
Kwa wale ambao kazi yao ni kubet, kabet Liverpool akitwaa ndoo mapemaaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
 
Hili kombe mpaka sasa halina mwenyewe ,yeyote anaweza chukua.Jana bayern kacheza mpira mbovu na round ya kwanza kama sevilla yule jamaa yao Ever banega asingekuwa na kadi mbili za njano ,bayern wasingetoka kwani jana kakichafua vibaya sana pale kati.Madrid mwenyewe mbereko tu za refa jana,lkn nae nyuma mweupe.
 
Back
Top Bottom