Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kukuunga mkono kwa kiasi fulani.. Ila Liverpool wananipa wasiwasi Sana aseeehNaiona fainali ya Bayern Fc na Roma Fc, ambapo Matokeo ni Bayern Munich 3 - 1 Roma. HATIMAYE BAYERN BINGWA Unde Jupp h.
Ni kweli mkuu ila Liverpool ni kama Leicester city walivokuwa msimu jana ambapo nawafananisha na watu fulani walioanzisha safari kwa kufunga mizigo yote na chakula kwamba tutakapoishiwa na chakula ndo hapo tutafanya makazi mkuu.Naweza kukuunga mkono kwa kiasi fulani.. Ila Liverpool wananipa wasiwasi Sana aseeeh
Roma anamtoa nani mpaka afike fainali? Shitungulu unazingua! Bingwa wa mwaka huu ni Liverpool FC YNWA!Naiona fainali ya Bayern Fc na Roma Fc, ambapo Matokeo ni Bayern Munich 3 - 1 Roma. HATIMAYE BAYERN BINGWA Unde Jupp h.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Madrid nani kamtoa
Sio rahisi km unavyozaniRoma anamtoa nani mpaka afike fainali? Shitungulu unazingua! Bingwa wa mwaka huu ni Liverpool FC YNWA!
Kwa hawa marefa wa kuwapa madrid penati dkk ya 93 thubutuuuuu.Naiona fainali ya Bayern Fc na Roma Fc, ambapo Matokeo ni Bayern Munich 3 - 1 Roma. HATIMAYE BAYERN BINGWA Unde Jupp h.
[emoji122][emoji122][emoji122]Madrid nani kamtoa
Kumbuka ndo timu pekee ambayo haijafungwa mpaka sasa.Ni kweli mkuu ila Liverpool ni kama Leicester city walivokuwa msimu jana ambapo nawafananisha na watu fulani walioanzisha safari kwa kufunga mizigo yote na chakula kwamba tutakapoishiwa na chakula ndo hapo tutafanya makazi mkuu.
Bayern wakipangwa dhidi ya Roma, Bayern anaaga mashindano. Na madrid akipangiwa na Liverpool basi bila shaka Madrid itakuwa ndio mwisho wao. Labda wapate bahati ya refa kama ilivyokuwa msimu uliyopita dhidi ya Bayern na jana dhidi ya JuveRoma anamtoa nani mpaka afike fainali? Shitungulu unazingua! Bingwa wa mwaka huu ni Liverpool FC YNWA!