OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake.
Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma kwa haraka kupitia trends ndogo ndogo hapo msimbazi.
Mfano, ishu ya chama na reaction yake, kuna kitu kingine kikubwa nmekiona wachezaji hawamuelewi benchikha anachokitaka kifanyike hawafanyi.
Hii inamtesa sana na inamuumiza sana lazima atapasuka kabla ya krismas 2024, mo aanze kutafuta kocha upesi.