Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..nacheka maana Rage alishasemagaUngekuwa ni Mzee Sunday Manara au Kikwete labda tungeanza kujadiliana...😝😝😝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..nacheka maana Rage alishasemagaUngekuwa ni Mzee Sunday Manara au Kikwete labda tungeanza kujadiliana...😝😝😝
HahahahahaJangwani akafanye nini!??
Nyie watu mnapenda sana kuzusha na kujimwambafai.
Bnechika yupo yupo sana
Kale kauzushi kenu kuwa " Simba wanashinda Lakini hawana furaha" Sasa mmekaacha mmekuja na Benchika hana furaha.
Hahahahaha...aisee
Mkuu Supu vipi ...Ushakunywa supu ya bure...
Mkeka wako ume tickDecember mbona mbali sana, huyu mpaka sikukuu ya wajinga hatunae.
😂 walishamkatia tamaa mda sana
YametimiaDecember mbona mbali sana, huyu mpaka sikukuu ya wajinga hatunae.
Hakika, simba hawawezi kudumu na kocha ambae hawapi makombe makubwa makubwa.Yametimia
Hapa mpaka morinhoHakika, simba hawawezi kudumu na kocha ambae hawapi makombe makubwa makubwa.
Kocha ndo amewakataa simba bhanaHakika, simba hawawezi kudumu na kocha ambae hawapi makombe makubwa makubwa.
Aiseee25 december mbina mbali sana? huyo pasaka inamkta kwao. timu itongozwa na Mgunda kumalizia msimu. wekeni hii comment
Licha ya hilo ila walishamchokaKocha ndo amewakataa simba bhana
Labda morinho wa buzaHapa mpaka morinho
Sio anaona hawamuelewi, ni kweli wale wachezaji ni mambumbumbu.Ana panic sana...anaona wachezaji hawamuelewiii
Hawakuwa na uwezo huo wa kumchoka.Licha ya hilo ila walishamchoka
Kwa matokeo ya kipigo lazima wamchokeHawakuwa na uwezo huo wa kumchoka.
Ulitegemea kocha afanyaje kwa wachezaji wazee waliokwisha jichokea. Sawa, karibu madafu.Kwa matokeo ya kipigo lazima wamchoke
Madafu kale na jay moeUlitegemea kocha afanyaje kwa wachezaji wazee waliokwisha jichokea. Sawa, karibu madafu.