OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]December mbona mbali sana, huyu mpaka sikukuu ya wajinga hatunae.
Ungekuwa ni Mzee Sunday Manara au Kikwete labda tungeanza kujadiliana...πππDecember mbona mbali sana, huyu mpaka sikukuu ya wajinga hatunae.
Ana panic sana...anaona wachezaji hawamuelewiiiBenchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeri, dhihaka moyoni mwake, ni mtu flani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kweli kweli, ni wachache tumeweza kumsoma kwa haraka kupitia trends ndogo ndogo hapo msimbazi mfano, ishu ya chama na reaction yake, kuna kitu kingine kikubwa nmekiona wachezaji hawamuelewi benchikha anachokitaka kifanyike hawafanyi, hii inamtesa sana na inamuumiza sana lazima atapasuka kabla ya krismas 2024, mo aanze kutafuta kocha upesi.
Kakwambia anaona wachezaji hawamuelewi??Ana panic sana...anaona wachezaji hawamuelewiii
Jangwani akafanye nini!??Jamaa anachafua tu Cv yake Anatamani hata angetua Jangwani
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Soma alichoandika leo baada gane JanaKakwambia anaona wachezaji hawamuelewi??
Kwenye Nini nisome!!??Soma alichoandika leo baada gane Jana
Ndio mlichovmbahatika kukielewaUngekuwa ni Mzee Sunday Manara au Kikwete labda tungeanza kujadiliana...πππ
hiyo ni kazi ya mods hata kuweka aya ni kazi yao maana wanalipwa alafu hii sio assignment
Tafuta feedback mechi ya jana....nimesoma huko nikaachana nayo...itafuteKwenye Nini nisome!!??
krismas mbali sana mzee...huyu atakuwa sio kocha wa makolo kabla ya sikukuu ya iddiBenchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake.
Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma kwa haraka kupitia trends ndogo ndogo hapo msimbazi.
Mfano, ishu ya chama na reaction yake, kuna kitu kingine kikubwa nmekiona wachezaji hawamuelewi benchikha anachokitaka kifanyike hawafanyi.
Hii inamtesa sana na inamuumiza sana lazima atapasuka kabla ya krismas 2024, mo aanze kutafuta kocha upesi.