utabiri: Bush na wenzake watakavyouawa!!!!

utabiri: Bush na wenzake watakavyouawa!!!!

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
katika kazi ya kisanii iliyoleta kasheshe nchini brazili na kwingineko duniani, msanii gil vicente anaonesha picha za kuchora namna bush na wenzake kama malkia elizabeth, papa benedict xvi, rais ahmadinejad na wengine watakavyouawa katika kazi zake hizo zijulikanavyo kwa ujumla kama "enemies" viongozi hao wanaoneshwa (depicted) kuuawa kwa mkono wake vicente mwenyewe na picha zake (vicente) halisi zimejumuishwa ifuatavyo:
  • maskini bush akapiga magoti na kusali salam maria...!!!
BUSH-SKETCH.jpg

  • malkia elizabeti hakupata hata nafasi ya malaika wa bwana kwani alikuwa hajui kinachoendelea!!
QUEEN-SKETCH.jpg

  • papa benedict xvi akapata hata nafasi ya kuungama na kukabili kifo!!!
POPE-SKETCH.jpg

  • ahmadinejad akataimiwa kabla ya kupiga Qiblah!!!
IRANIAN-PRESIDENT-SKETCH.jpg



Source: Artist Depicts Assassination Of Bush

MY TAKE:
wakuu hii imekaaje? inawezekana hapa kwetu bongo kufanya kazi ya usanii kama huo?
 
unaambiwa jamaa alishauriwa aondoe hizo picha wala hakuwekwa ndani.
 
Back
Top Bottom