Utabiri: CCM haitoleta Katiba Mpya wala Maendeleo ya kweli

Utabiri: CCM haitoleta Katiba Mpya wala Maendeleo ya kweli

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu,

Muombe sana Mungu, nimeona uwanja ukiwa na giza nene sana na njia haipo kabisa.

Yaani hawa jamaa kamwe hawatokubali katiba mpya labda wananchi waidai kwa njia nyingine lakini wao kama wao hawana wazo la katiba mpya.

Na inaonekana suala la maendeleo ya dhati nalo itakua ndoto maana inaonekana ni uongouongo hivo tuombe sana Mwenyezi Mungu atuvushe.
 
Back
Top Bottom