Utabiri cl

Utabiri cl

Kwa kupangwa na Juve inaweza ikawa kweli. Ila toka 2006 inaonesha kuwa nchi inayochukua kombe la dunia, msimu unaofuatia clabu toka nchi hiyo inabeba Cl. ilikuwa hivyo 2006 kwa italy na mwaka uliofuatia 2007 Ac milan ikatwaa Cl.
Mwaka 2010 world cup ikatua Spain na mwaka uliofuatia yaani 2011 klab ya nchi yake Barca ikabeba Cl. So kwa kuwa Ujeruman alitwaa WC 2014,clab toka nchi hii mwaka huu itabeba Cl. Nayo ni Bayern munich.
 
Back
Top Bottom