Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Hii thread ya lini!?...mbona shughuli ishaisha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
izi ndo bangi sio bangez😎Manchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili
Tukutane Madrid
God first
hahahahahaKaolewe tu tena pengine unaweza kupatia kupanua Miguu lakini kwenye Mpira huwezi patia.
Wewe una gundu sanaManchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili
Tukutane Madrid
God first
Vipi wewe ushaona?Subiri uone
God first
Na watu wote wajue hili, jina la uwanja ni CAMP NOU.Tilly nawewe pia umekosea [emoji3][emoji3]....ni Camp Nou
Na watu wote wajue hili, jina la uwanja ni CAMP NOU.
Hapa nina kazi na mashabiki wa Liverpool. Wanakwambia Barcelona analiwa palepale Camp Nou
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Manchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili
Tukutane Madrid
God first