Utabiri game ya Kesho Argentina Vs France

Utabiri game ya Kesho Argentina Vs France

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,229
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia.

Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini anachokiona anapiga goti anatubu.

Ebwanaa eh Messi kama staring wa picha , anamaliza operation yake na mission accomplished 🤣🤣🤣
 
Kabisa, japo mm napenda Argentina washinde ila mtoa mada ajafanya alichosema kutabiri ila kaanza kutia shangwe za ushindii.

Hahaha
Akikosa aje hapa pia, ila nawaonya msije kipa uchezaji bora kile kimbilikimo chenu maana tulishawachoka na yule mwenye kuvaa hareni kama bangili.
 
Akikosa aje hapa pia, ila nawaonya msije kipa uchezaji bora kile kimbilikimo chenu maana tulishawachoka na yule mwenye kuvaa hareni kama bangili.
Wasipewe kwasababu wewe hutaki au hastaili?
 
Back
Top Bottom