Utabiri game ya Kesho Argentina Vs France

Utabiri game ya Kesho Argentina Vs France

Akikosa aje hapa pia, ila nawaonya msije kipa uchezaji bora kile kimbilikimo chenu maana tulishawachoka na yule mwenye kuvaa hareni kama bangili.
Wewe ni kama mimi, eti kila kukicha ni yenyewe tu, lakini kwa ukaribu iliyonayo FIFA na ADIDAS na inavyomdhamini Messi nina wasiwasi kivyovyote lazima waibebe Argentina na Andunje ilimradi kombe na tuzo mbali mbali zimfikie Andunje [emoji849][emoji2960]
 
Kesho ni 1 bila.
Wataingia mmojawapo/wote wamepaki basi
Baada ya bao la 1 kuingia, aliyefungwa atafunguka, ataongeza moto na atapambana hadi muda unaisha.
Good analysis, hasa hasa yale magoli ya kuingia mapema huwa nayaogopaga sana, yani France akibahatika kutangulia kushinda naamini atabeba kombe lakini Argentina ikitangulia kufunga nitazima TV na kwenda kuzurura mitaani tu [emoji1732][emoji28]
 
Hii picha imepigwa kesho[emoji23]
JamiiForums478052140.jpg
 
Wewe ni kama mimi, eti kila kukicha ni yenyewe tu, lakini kwa ukaribu iliyonayo FIFA na ADIDAS na inavyomdhamini Messi nina wasiwasi kivyovyote lazima waibebe Argentina na Andunje ilimradi kombe na tuzo mbali mbali zimfikie Andunje [emoji849][emoji2960]
Mi nashangaa kwann messi mnamuitaga anduje wakati akija bongo ni mwanaume wa wastani kabisa.
Urefu wa kina Harmonize ivi
Kama ni hivyo basi bongo ni nchi ya maandunje.
 
Wewe ni kama mimi, eti kila kukicha ni yenyewe tu, lakini kwa ukaribu iliyonayo FIFA na ADIDAS na inavyomdhamini Messi nina wasiwasi kivyovyote lazima waibebe Argentina na Andunje ilimradi kombe na tuzo mbali mbali zimfikie Andunje [emoji849][emoji2960]
Wameharibu mambo kipindi kirefu sana.
 
Mchezo utakuwa mgumu kwa pande zote, hata kama milango itafunguka utakuwa katika mlingano ulio sawa.
Argentina 9 vs France 6 ina maana ushindi kwa Argentina 3 kwa France 2.
 
Utabiri wako unaelekea kutimia.
 
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia.

Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini anachokiona anapiga goti anatubu.

Ebwanaa eh Messi kama staring wa picha , anamaliza operation yake na mission accomplished 🤣🤣🤣
Uzi Wangu bado unapumua
 
Back
Top Bottom