ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
Vyovyote Kesho Messi bingwa 😂Hujatabiri umechagua upande wako.
Wanachoka game zinafuatana SanaMi kesho yoyote tuu,
Croatia iliniuzi, hawa jamaa hua wanatokaga mbali, wanawapa matumaini halafu mwishowe wanapigwa kilaini.
Kabisa, japo mm napenda Argentina washinde ila mtoa mada ajafanya alichosema kutabiri ila kaanza kutia shangwe za ushindii.Hujatabiri umechagua upande wako.
Kujifariji imoKabisa, japo mm napenda Argentina washinde ila mtoa mada ajafanya alichosema kutabiri ila kaanza kutia shangwe za ushindii.
Hahaha
Hiyo ni pieKesho mechi inatoa zaidi ya magoli 2+
Si kesho hiyo atadandia mtumbwi wa vibwengo🤣🤣Ufaransa kaleta ufala gani tena
Akikosa aje hapa pia, ila nawaonya msije kipa uchezaji bora kile kimbilikimo chenu maana tulishawachoka na yule mwenye kuvaa hareni kama bangili.Kabisa, japo mm napenda Argentina washinde ila mtoa mada ajafanya alichosema kutabiri ila kaanza kutia shangwe za ushindii.
Hahaha
Itakuwa unyama sanaIla Bora abebe Messi tu
Lolote linatokea dakika 90 nyingiUfaransa wana bahati
Kesho ni 1 bila.Kesho mechi inatoa zaidi ya magoli 2+
Wasipewe kwasababu wewe hutaki au hastaili?Akikosa aje hapa pia, ila nawaonya msije kipa uchezaji bora kile kimbilikimo chenu maana tulishawachoka na yule mwenye kuvaa hareni kama bangili.