Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Safari hii Makolo hawachomoki,, jamaa kwenye Interview yake na Bugatti kaapa kabisa kuwa bado Simba na Namungo.. siku tukikutananao Makolo lazima wazimie uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo akihudhuria mechi za simba ujui anakuja kufanya nini? Kwa kocha anaejitambua kwenye mambo ya kiufundi lazima umsome mpinzani wako kimbinu, trh 30 ndo utajua alikuwa anafanya nini jibu utalipataKwa taarifa tu kocha wa yanga amehudhuria mechi nyingi za simba kuliko abdallah try again anakuja kuangalia nn mechi za simba mi sijui sasa utopolo endeleeni na ujuha wenu huo wakudanganyana kwamba mnaiweza simba .