Utabiri: Hat-trick Ya Fiston Kalala Mayele Kwenye Derby Ya Kariakoo 2021/2022

Safari hii Makolo hawachomoki,, jamaa kwenye Interview yake na Bugatti kaapa kabisa kuwa bado Simba na Namungo.. siku tukikutananao Makolo lazima wazimie uwanjani
 
Kwa taarifa tu kocha wa yanga amehudhuria mechi nyingi za simba kuliko abdallah try again anakuja kuangalia nn mechi za simba mi sijui sasa utopolo endeleeni na ujuha wenu huo wakudanganyana kwamba mnaiweza simba .
Kwaiyo akihudhuria mechi za simba ujui anakuja kufanya nini? Kwa kocha anaejitambua kwenye mambo ya kiufundi lazima umsome mpinzani wako kimbinu, trh 30 ndo utajua alikuwa anafanya nini jibu utalipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…